Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Onyesha jinsi Majoka anavyowadhulumu wanasagamoyo

Onyesha jinsi Majoka anavyowadhulumu wanasagamoyo.

Answers


Raphael
1 Majoka hawasaidii wanasagamoyo kwa kusafisha soko bali wanalipia kodi.
2 Majoka ana kampuni ya kutengeneza sumu ya nyoka ambayo ni pombe.
3 Majoka pia ananyakua soko la chapakazi ili ajenge soko la kifahari asipojali maslahi ya wananchi ambao soko la chapakazi ndilo lilikuwa tegemeo lao.
Earlen answered the question on January 5, 2019 at 07:24

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions