Swali la fasihi kutoka kwa kitabu cha hadithi ndogo Tumbo lisiloshiba.

      

Eleza dhamira ya mwadishi katika hadithi ya Tumbo lisiloshiba?

Answers


Moureen
Dhamira ni funzo kuu litokanalo na kazi ya sanaa au lengo kuu la mwandishi. Mwandishi wa hadithi ya Tumbo lisiloshoba alidhamiria kufunua uozo unaoletwa na ubinafsi na tamaa katika jamii. Aidha anawajasirisha wanaoathiriwa kuwa wanaweza kukubali madhila wanayofanyiwa ama kupinga dhulma hizo na kusimama wima na kutetea haki zao. ho
karanumoureen answered the question on January 9, 2019 at 18:35


Next: Discuss the Judicial review and remedies
Previous: Differentiate between sponging and spotting

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Related Questions