Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili jinsi Mambo yalivyopamba sagamoyo kutokana na mazungumzo Kati ya Hashima na Siti

Jadili jinsi Mambo yalivyopamba sagamoyo kutokana na mazungumzo Kati ya Hashima na Siti

Answers


EZRA
Kutokana na mazungumzo ya Hashima na siti,tunadokezewa kwamba siku hizi wanaishi kwa hofu.siti wanawoga sababu wamerushiwa vijikaratasi vinavyodai kuwa huko si kwao na wahame kwa kuwa sudi wamejiunga na wanaharakati.
Hashima analalamika kwa kuvuna mchele kidogo na anaamini kuwa ni sababu ya umwagikaji Wa damu isiyo na hatia.anadokeza kuwa hata mito na maziwa yamekauka.majoka anafungulia ukataji Wa miti inayochochea ukame.tunu anaota ndoto na kupiga kelele kuwa amefukuzwa na mzee marara anayetaka kuchukua mkufu wake Wa dhahabu.hii siti anaiona kama njama za wanpinzani wake wanaowinda roho ya tunu.
Viongozi wanatumia vitisho kuwatia watu woga.wanachochea ukabila ili kuwatenganisha watu.wanawatumia wahuni kuwavamia viongozi wanaoongoza maandamano kama tunu.baada ya kuvamiwa tunu naonyesha kutokufa moyo
Mkufu ule wa dhahabu aliouota tunu ukichukuliwa na marara huenda unamaanisha ubikira Wa tunu.marara alijaribu kumbaka tunu lakini hakufaulu.
MBOROGO answered the question on June 9, 2019 at 05:29

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions