Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Mambo yepi yanayoweza kusababisha kufa kwa lugha?

Mambo yepi yanayoweza kusababisha kufa kwa lugha?

Answers


Ochieng
*ukosefu wa Sera za lugha katika nchi
*Mapito ya wakati
*idadi ndogo ya watumiaji
*ndoa za mseto,ya kabila tofauti tofauti
*ukosefu ya wataalam wa lugha husika
*ukosefu wa hifadhi ya lugha hiyo na tafiti zake
SAW answered the question on May 14, 2019 at 12:34

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions