Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza tofauti mbili muhimu za kimaumbile kati ya wanyama (i) Kifaru (ii) Nyati

Eleza tofauti mbili muhimu za kimaumbile kati ya wanyama
(i) Kifaru
(ii) Nyati

Answers


Kavungya
Kifaru hana manyonyo ilhali nyati anayo
Kifaru ana masikio madogo kuliko ya nyati
Kifaru ana pembe moja na nyati mbili
Kifaru ana pembe mbili, moja ndefu kuliko nyingine ilhali zile za nyati ni mbili
ziliztoshana urefu.
Pembe za kifaru zinapatikana usoni karibu na pua lakini za nyati ziko kishawani
Kifaru ana mkia mfupi kuliko wa nyati
Kifaru ana miguu mifupi iliyo na matende lakini ya nyati ni mirefu na ina kwato
Ngozi ni ngumu (Ya kifaru) ilhari ya nyati ni laini
Kifaru ana kichwa kirefu chembamba lakini nyati an kifupi kinene.
Pembe za kifaru zimenyooka ilhali za nyati zimejikunja
Kifaru ni mkubwa kuliko nyati
Kifaru ni mfupi na mpana ilhali nyati ni mrefu na mwembamba.
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 08:26

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions