Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Fafanua maana za misemo ifuatayo kwa kuitungia sentensi (i) Kula uyundo (ii) Kula uhondo

Fafanua maana za misemo ifuatayo kwa kuitungia sentensi
(i) Kula uyundo
(ii) Kula uhondo

Answers


Kavungya
1) Kula uvundo – kutofaidika, kupata hasara, kupata shida, kula mwata.
ii) Kula uhondo-kupata starehe/neema/raha/ufanisi/manufaa/faida/utamu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 07:15

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions