Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Jadili matatizo KUMI ya kijamii ukirejelea hadithi "Mwana wa Darubini"

Jadili matatizo KUMI ya kijamii ukirejelea hadithi "Mwana wa Darubini"

Answers


sharon
-Ulanguzi wa Binadamu- Kananda anauzwa kwa dereva wa Congo.
- Uzinifu – Mwatela na Kananda.
- Wizi wa watoto – Mwakitawa aliibiwa kutoka kwa mamake na babake.
- Ukatili- Kananda aligongwa kwa mawe na Mwakitawa.
- Ulevi- Mwatela kuchapa mtindi
- Uongo- Mwatela alidanganya Mwakitawa mamake amefariki.
- Utengano- Mwakitawa na mamake
- Maafa- Sami alikufa kwa moto.
- Mimba za mapema- Kananda alipachikwa mimba na Mwatela.
- Ajira za watoto- Kananda kuajiriwa kwa Mwatela
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:51

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions