Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Thibitisha jinsi anwani "Damu Nyeusi" inaafiki yaliyomo katika hadithi.

Thibitisha jinsi anwani "Damu Nyeusi" inaafiki yaliyomo katika hadithi.

Answers


sharon
- Fikirini anaachwa kwenye kituo cha basi na dereva mzungu.
- Mhadhiri mzungu na wanafunzi darasani kumwuliza fikirini maswali ya kumdhalilisha na kumdunisha.
- Fikirini anatozwa faini na polisi mzungu ilihali wazungu wengine wanaachwa kuvuka barabara taa zikiwa nyekundu.
- Wahadhiri wanatoa alama kwa kupendelea watu weupe na kuwakandamiza weusi.
- Mlinzi anamfuatafuata Fikirini aendapo kununua vitu dukani kana kwamba anamshuku atadokoa.
- Marekani jela imeundiwa mtu mweusi
- Wanaume weusi wanang‘ang‘ania kula kalenda badala ya kupata shahada vyuoni.
- Weusi kuwabagua weusi wenzao (Fiona na Bob)
- Mzungu anamwona kila mtu mweusi kuwa ni jambazi.
- Watu weusi kushtakiwa kwa makosa madogo madogo mfano kutofunga zipu.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:55

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions