Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mwanafunzi mdogo amezungumza taratibu.

Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo.
Mwanafunzi mdogo amezungumza taratibu.

Answers


okworo
Mdogo ni kivumishi.Maana hutoa maelezo zaidi kuhusu nomino ambayo ni mwanafunzi.
Innocent okworo answered the question on August 17, 2020 at 05:21

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions