Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Nani kuku....? Sosi poa leo .... Mate ndo! ndo! ndo!. Ukimanga hii hutaona daktari kwa miaka kumi..... Ng’ombe je? nani? ......nani!... Ni wewe.... poa basi naja...... a....

Nani kuku....? Sosi poa leo .... Mate ndo! ndo! ndo!. Ukimanga hii hutaona daktari kwa miaka
kumi..... Ng’ombe je? nani? ......nani!... Ni wewe.... poa basi naja......
a. Je, sajili hii inapatikana wapi?

b. Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa nne za sajili hii.

Answers


Kavungya
a. Sajili ya hoteli

b. Sifa.
- Matumizi ya maneno au kauli ambazo katika mazingira mengine haziwezi kuwa na maana nani kuku?
- Matumizi ya msamiati maalumu wa hotelini kwa mfano, Karanga,‘Ng’ombe’ ,Chipo ,Chapo
- Lugha ya ucheshi na utani
- Matumizi ya misimu ukikimanga / surwa
- Kuchanganya ndimi
- Lugha isiyo sanifu k.m Ukimanga
- Tanakali za sauti km. mate ndo... ndo... ndo...
- Matumizi ya sentensi fupi fupi
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 09:29

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions