Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ask, answer and revise exam-style questions across Kenyan subjects and professional courses.

Q&A Categories

Exams With Marking Schemes

20753 Questions    View: All Solved Unsolved

Search Results...
  • Eleza tofauti iliyopo kati ya sentensi hizi Tulipofika hotelini tulipewa soda na chupa Tulipofika hotelini tulipewa soda kwa chupa

    Date posted: October 17, 2019
  • A sample of Carbon (IV) Oxide takes 200 seconds to diffuse across a porous plug. How long will it take the same amount of Carbon (II) Oxide to diffuse through the same plug?(C=12, O=16)

    Date posted: October 17, 2019
  • Eleza maana ya sentensi hii Ningalikuwa na pesa ningalinunua gari na ningalistarehe.

    Date posted: October 17, 2019
  • Andika neno lenye maana sawa na Hawala Katani

    Date posted: October 17, 2019
  • Onyesha matumizi ya kiimbo katika sentensi hii Ondoka hapa!

    Date posted: October 17, 2019
  • A fixed mass of gas occupies 200cm3 at a temperature of 23oC and pressure of 740mmHg. Calculate the volume of the gas at -25oC and 780mmHg pressure

    Date posted: October 17, 2019
  • A factory produces Calcium Oxide from Calcium Carbonate as shown in the equation below:- Q710172019832.png What volume of Carbon (IV) Oxide would be produced from 1000kg of Calcium Carbonate at s.t.p (Ca = 40, C = 12, O = 16, Molar gas volume at s.t.p = 22.4dm3)

    Date posted: October 17, 2019
  • A gas occupied a volume of 250cm3 at -23ºC and 1 atmosphere. Determine its volume at 127ºC when pressure is kept constant.

    Date posted: October 17, 2019
  • Gas V takes 10 seconds to diffuse through a distance of one fifth of a meter. Another gas W takes the same time to diffuse through a distance of 10 cm. if the relative molecular mass of gas V is 16.0; calculate the molecular mass of W.

    Date posted: October 17, 2019
  • State and explain the observation made when a piece of charcoal is dropped in a jar containing concentrated nitric (V) acid

    Date posted: October 17, 2019
  • Eleza sifa mbili za vishazi tegemezi.

    Date posted: October 16, 2019
  • Bainisha aina za vitenzi katika sentensi ifuatayo. Walimu ni watu wasiopendwa wanaposema ukweli kuhusu wanafunzi

    Date posted: October 16, 2019
  • Onyesha virai katika sentensi zifuatazo na ueleze ni vya aina gani. i) Anachukia kusoma riwaya yenye masuala ya kisiasa. ii) Watoto wa kike hudunishwa katika jamii nyingi

    Date posted: October 16, 2019
  • Yakinisha katika nafsi ya tatu wingi Sijasafiri kwenda marekani

    Date posted: October 16, 2019
  • Andika sentensi ifuatayo kwa wingi, wakati uliopita hali ya kuendelea Mwalimu humuadhibu mwanafunzi mwenye hatia.

    Date posted: October 16, 2019
  • Weka nomino hizi katika ngeli zake Mbalungi Mturuki

    Date posted: October 16, 2019
  • Andika sentensi hii katika msemo halisi Mwalimu alimuambia mwanafunzi amalize kazi hiyo haraka

    Date posted: October 16, 2019
  • Taja sifa tatu kuu za sauti /k/

    Date posted: October 16, 2019
  • Soma kifungu kisha uyajibu maswali yanayofuata. Nidhamu ni kitu cha maana sana maishani mwa binadamu. Kila mwanafunzi anapaswa kuwa na nidhamu ya hali ya juu sana.Akiwa na nidhamu hiyo, atakuwa mtu mwadilifu, anayeweza kustahiwa na kusadikika katika mambo, shughuli na hali tofauti. Kwanza, mtoto mwenye nidhamu huwa kama anga au nuru nyumbani mwao, shuleni na pia katika jamii.Watu wote wanampenda na kumheshimu. Wazee kwa vijulanga wote wanamtegemea kama msimamizi wa mambo nyeti ya maisha yao. Kwa hivyo, ni dhahiri shahiri kwamba mwadilifu hunufaika sana, kinyume na mkaidi ambaye wahenga walimwambia kwamba atakosa kufaidi hadi siku ya Idi. Pili, huwadia nyakati ambapo huwa kuna jambo la busara, mathalani jukumu ama dhima fulani ambayo huhitaji tu mwakilishi mmoja darasani, shuleni au katika jamii. Watu hapana shaka watamteua yule mwadilifu kuchukua nafasi kama hiyo. Ndio maana viranja wanaoteuliwa shuleni, huwa ni wanagenzi ambao tayari wamekwisha tiliwa katika mizani na kupigwa msasa madhubuti. Vile vile, mwadalifu daima atajiepusha na shutuma na majanja yote yanayoweza kuchipuka. Kuna msemo maarufu, kwa busara yake iliyobusarisha mwadilifu kwamba “aliye kando haangukiwi na mti.”Pia waliambiwa kwamba, “ pilipili usiyoila yakuwashiani?” Ni bayana kutokana na misemo hiyo miwili kwamba mwenye nidhamu hawezi kuhusishwa na majanga hatari yanayoweza kuyakumba watu. Walakini ni vyema kujiuliza, je, nidhamu huanzia wapi, na kwa nini kuna baadhi ya ‘watoro’ ambao ni utovu wa nidhamu? Utovu wa nidhamu huanzia awali sana maishani mwa mja. Mtoto anapozaliwa, anategemea miongozo na mielekeo ya watu wazima ambao wakomazingirani mwake.Ndipo wakale wale waliokaramka walisema kwamba mtoto akibebwa, hutazama kisogo cha nina. Hivi ni kusema kwamba, nidhamu au utovu wa nidhamu huanzia nyumbani hadi shuleni, kisha hupanuka hadi kufikia kiwango ambapo mja anatangamana na watu wote katika maisha yake.Ikiwa sehemu moja ya ukuaji wa nidhamu maishani mwa mja itasambaratika, basi hawezi akawa mkamilifu kinidhamu maishani mwake. Kwa vile ni bayana kwamba mabaya yote ayatendayo duniani hulipwa na Mola papa hapa duniani,watovu wa nidhamu wote huishia kuangamia, ama kujuta mno kwa amali zao potovu.Ni kheri mja kujihidi mwenyewe, kwani uhalifu haulipi chochote. a) Nini umuhimu wa nidhamu? (maneno kati ya 50-55) Matayarisho Jibu (b) Bila kubadilisha maana, fupisha aya nne za mwisho. (tumia maneno 55-60) Matayarisho Jibu

    Date posted: October 16, 2019
  • Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanoyofuatia. Malengo ya maendeleo ya Milenia Malengo ya maendeleo ya Milenia (yajulikanayo kwa kimombo kama Millenium Development Goals (MDG), Ni malengo manane ya nchi wanachama wa umoja wa mataifa, ambayo nchi hizi zilikubaliana kujitahidi kutimiza kufikia mwaka wa 2015.Azma ya kufikia malengo haya ilizinduliwa rasmi mnamo septemba 2000 katika azimio la millennia la umoja wa mataifa.Wakati wa uzinduzi, mataifa yote 189 wanachama wa umoja wa mataifa yalihusika.Kwa sasa, mataifa wanachama yameongezeka na kufikia 193 na yote yanajizatiti kutekeleza azma hii. Azma ya kwanza ni kukomeza au kupunguza umaskini uliokithiri kwa asili 50 miongoni mwa watu ambao kipato chao ni chini ya dola moja kwa siku.Aidha lazima hii inalenga kupunguza kwa kiasi hicho idadi ya watu wanaokumbwa na dhiki ya njaa kufikia mwaka wa 2015.Kwa kielelezo, kwa mfano vijiji viitwavyo ‘vijiji vya milenia’vilianzishwa katika nchi sahara,ambazo ni Uhabeshi, Ghana, Kenya, Malawi, Rwanda, Nigeria, Senegal, Tanzania na Uganda vilichaguliwa.Wakazi hawa wanapookolewa kutoka kwa ulitima, hatua zilichukuliwa vijijini humu yanaonyesha athari chanya.Kunayo matumaini. Lengo la pili lilikuwa kutimiza elimu ya msingi kwa wote chini ya wito ‘Elimu kwa wote’, yaani kwa kingereza Eduction for All (EFA) kufika mwaka wa 2015.Nchini Kenya, elimu ya msingi ilifafanuliwa upya katika katiba mpya ya 2010, ikawa yaanzia shule ya chekechea hadi kidato cha nne. Aidha imetajwa kuwa ya lazima, kwamba mtoto sharti ahudhurie masomo.Ina maana kuwa mzazi analazimika kumpeleka mtoto shuleni. Lengo pia lipo, kuhakikisha watoto wote wa jinsia za kike na kiume wanahitimu. Lengo jingine ni kuwania usawa wa kijinsia kwa kuhakikisha kuna nafasi sawa kwa wote.Katika janibu nyingi za wanachama wa umoja wa mataifa, wanawake kwa miaka ya ayami walionekana kuwa chini ya wanaume kutokana na taasubi ya kiume, mwanamke alifaa kuwa chini ya mwanamume.Hatua ya kwanza ya malengo ya maendeleo ya millennia inanuia kuondoa tofauti ya uwiano wa wasichana na wavulana katika elimu ya msingi hadi sekondari ifikapo mwaka 2005; na katika ngazi zote za elimu ifikapo 2015. Kuondoa utoro miongoni mwa wahudhuriao masomoni hutahakikisha usawa huu. Lengo la nne ni kupuuza vifo vya Watoto wa umri chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili kufikia mwaka wa 2015. Jitihada zinatiwa kuhakikisha kuwa kina mama waja wazito hawazai njiti wala watoto wao hawaagi punde baada ya kuzaliwa.Changamoto imekuwa kwamba watoto wengi katika nchi zinazoendelea hufa kabla kufikia umri wa miaka mitano. Mapambano dhidi ya magonjwa kama vile kifaduro, polia na malaria yaliyosababisha vifo hivi pamoja na jitihada za kujizatiti za kufikia lengo hili. Kunayo azma ya kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za uzi ili kupunguza kwa robo tatu vifo vya uzazi kufikia 2015. Kua kwa wajawazito kunaashiria huduma duni wakati wa kuhimili.Kina mama wengine katika nchi zinazoendelea hawahudhurii kliniki wakati wakati wa kulea mimba.Kwingineko, huduma hizi huwa mbali sana, huku namna za usafiri zikiwa duni.Kina mama huishia ama kuhudumiwa na ‘wakunga’ wasiohitimu au hata kujifungua pweke .Mataifa wanachama wanahimiza kuongezea zahanati na vituo vingine muhimu vya afya.Kadhalika jitihada zinatiwa kuwaelimisha kina mama na jamii kwa jumla kuhusu umuhimu wa kuhudhuria kliniki wakatiwa ujauzito na kuhakikisha mama yu salama wakati wa kujifungua. Magonjwa sugu yanayotishia kuwamaliza walimwengu ni kikwazo cha jitihada za walimwengu kujiendeleza.Ndiyo maana lengo la sita ni kupambana na Ukimwi, malaria na magonjwa mengineyo.Kampeni zinaimarishwa katika jumuiya hii kuzuia kabisa na kupunguza maambukizo mapya ya Ukimwi.Jitihada zinatiwa kupunguza au kuzuia kabisa ugonjwa wa malaria au magonjwa mengine hatari. Vyombo vya habari, vituo tamba vilivyo na maafisa wa nyanjani vinatumiwa nyanjani katika mataifa wanachama ili kufaulisha kampeni hii. Aidha wanachama wanalenga kuhifadhi mazingira kwa kujumuisha misingi ya maendeleo endelevu katika sera na program za nchi.Zinalenga kuzuia upotevu wa rasilimali ya mazingira kama vile miti na maji.Lengo lipokuhakikisha kuwa katika kipindi hiki wanachama watapunguza kwa asilimia 50 idadio ya watu wanaoshindwa kupata maji safi na salama – hii ni moja wapo ya malengo ambayo, kwa mujibu ya tovuti ya umoja wa mataifa www.un.org/milleniumgoals, kuna matumaini ya kutimiza zaidi ya 2015. Mwisho kuna lengo la kujenga mshikamano wa maendeleo duniani, kwanza kwa kuboresha zaidi mfano wa Fedha na biashara duniani kuhakikisha ni wa usawa, unafuata sheria na kamwe hauna ubaguzi.Utawala bora; kushughulikia mahitaji ya kipekee ya nchi changa kama vile kuziondolea ushuru wa bidhaa muhimu,kuzipunguzia au kuziondolea madeni; kutoa misaada zaidi kwa nchi maskini zinazotia jitihada kutoa umaskini kushughulikia mahitaji muhimu, ya visiwa vidogo na nchi zisizo na bandari miongoni mwa nchi zinazoendelea; kuwapa vijana ajira bora; kushirikiana na sekta za kibinafsi ili kuimarisha teknolojia ya kisasa hasa katika habari na mawasiliano ni baadhi ya yanayozingatiwa kulenga kutimiza mshikamano huu. MASWALI. 1. Malengo ya maendeleo ya milenia ni nini? 2. Ni wachochole wa kiwango gani wanaolengwa kuinuliwa na hatua za malengo ya maendeleo ya milenia? 3. Taja vipengele viwili muhimu kuhusu elimu katika katiba mpya ya Kenya vinavyo changia kufikia malengo ya maendeleo ya milenia? 4. Gusia changamoto tano zinazowakabili kina mama wajawazito katika ulimwengu wa tatu. 5. Kampeni dhidi ya magonjwa sugu inafanywa kwa namna gani. 6. Hali ya maji inatarajiwa kuwaje kufikia 2015. 7. Eleza maana ya vifungu hivi. a) Hawazai njiti b) Vifo vya uzazi.

    Date posted: October 16, 2019
  • Suggest six ways of conserving charcoal when cooking

    Date posted: October 16, 2019
  • Give four reasons that make polythene bags suitable for storing food in a refrigerator.

    Date posted: October 16, 2019
  • State five ways of making a face slit opening to be decorative.

    Date posted: October 16, 2019
  • Pastry is usually kept as cool as possible during preparation so that on cooking gases expand as much as possible .explain 4 ways of ensuring this.

    Date posted: October 16, 2019
  • Name any four types of openings in garment construction

    Date posted: October 16, 2019
  • What is the meaning of the rule of FIFO as used in cookery?

    Date posted: October 16, 2019
  • Use the taxation rates table below to answer the questions that follow. fig46161020191444.png A civil servant is entitled to a monthly personal relief of Ksh. 3000 and her tax (PAYE) is ksh. 9000 per month. She is deducted NHIF ksh. 350 per month. WCPS ksh. 800 and co-op shares ksh. 1200 per month. Calculate: a)The civil servant’s total deduction per month. b)Total tax per month. c)The civil servant’s annual gross salary d)The civil servant’s basic salary if her monthly house allowance and medical allowances are ksh.10000 and ksh. 2000 respectively.

    Date posted: October 16, 2019
  • An electronics dealer in Wote town wishes to purchase radios and TV sets. He can buy at most 30 of both items. On average, a radio and TV cost sh. 4000 and sh. 12000 respectively and he has sh. 240000 to spend. The number of TV sets should be at most twice the number of radios. He must buy more than 5 TV sets. a)Form all inequalities to represent above information. b)If the dealer makes a profit of sh.600 and sh.1000 per radio and TV set respectively, find the maximum possible profit.

    Date posted: October 16, 2019
  • A married couple intends to have 3 children. They consult an expert who tells them that the probability of a male birth is 0.6. a)Draw a tree diagram to represent this occurrence. b)Find the probability that: i) All the three children will be female. ii) At least a male is born. iii)At least 2 will be females.

    Date posted: October 16, 2019
  • The diagram below shows the heating curve of a pure substance. Study it and answer the questions that follow: Q1410162019151.png (a) Explain what happens between points A and C (b) The substance under test is definitely not water; Give a reason for this (c) What would happen to the melting point of this substance if it were contaminated with sodium chloride? (d) What happens to the temperature between points B and C?

    Date posted: October 16, 2019