Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ask, answer and revise exam-style questions across Kenyan subjects and professional courses.

Q&A Categories

Exams With Marking Schemes

20753 Questions    View: All Solved Unsolved

Search Results...
  • The scientific name of a rat is Rattus norvegicus (i) Write the name correctly (ii) Identify the genus and species names

    Date posted: October 3, 2019
  • mod.png (a) (i) Name the Kingdom to which bread mould belongs. (ii) Give two distinguishing characteristics of the Kingdom named in (a)(i) above. (b) State the function of the part labelled R

    Date posted: October 3, 2019
  • During a class practical form four students came across a plant whose flower floral parts were in multiples of fours and fives. To which sub-division and class does the plant belong?

    Date posted: October 3, 2019
  • Give a reason why no moulting occurs during the adult stages of insects.

    Date posted: October 3, 2019
  • The diagram below represents a bread mould:- fungi.png (a) Identify the kingdom to which the organism belongs

    Date posted: October 3, 2019
  • Tunga sentensi ukitumia yambwa tendwa na yambwa tendewa.

    Date posted: October 3, 2019
  • Give two characteristics that distinguish scientific names of organisms from the ordinary names.

    Date posted: October 3, 2019
  • Onyesha matumizi ya kiambishi "ni" katika sentensi ifuatayo: Maria ni mpole ndio maana ninapenda kwenda kwao.

    Date posted: October 3, 2019
  • List the limitations of community resources.

    Date posted: October 3, 2019
  • List different types of community learning resources used in the teaching and learning of in the classroom.

    Date posted: October 3, 2019
  • Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea. Juma anafundisha katika shule hii.

    Date posted: October 3, 2019
  • Uzi iko kwa ngeli gani?

    Date posted: October 3, 2019
  • Weka "kiziwi" kwa ngeli yake.

    Date posted: October 3, 2019
  • Give seven provisions given to Adam in Genesis 1 and 2 to meet his needs.

    Date posted: October 3, 2019
  • Tumia neno "Nairobi" katika sentensi kama : i) Nomino ii) Kielezi

    Date posted: October 3, 2019
  • Tunga sentesi moja kutofautisha maana ya: ngoma goma

    Date posted: October 3, 2019
  • Ainisha viambishi katika kitenzi kifuatacho. Walimtembelea

    Date posted: October 3, 2019
  • Eleza maana ya sentensi ya masharti.

    Date posted: October 3, 2019
  • Andika sifa mbili za irabu / u /

    Date posted: October 3, 2019
  • List the principles of Print and Non-Print Media.

    Date posted: October 3, 2019
  • Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Aibu kubwa ya taifa kushindwa kukabiliana na tatizo sugu la ajali za barabarani bado inaendelea kuwafedhehesha wahusika katika sekta ya uchukuzi na mawasiliano licha ya matumizi ya vidhibiti mwendo na kanda za usalama. Ajali za barabarani zinaangamiza idadi kubwa ya watu kila mwaka wakiwemo viongozi na watu mashuhuri. Miongoni mwa sababu ambazo zinaleta maafa barabarani pamoja na uendeshaji kasi kupita inavyotakikana, yaani kukiuka masharti yaliyowekwa na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano. Madereva wengi hung‘oa vidhibiti mwendo vilivyowekwa, hawarekebishi mikanda ya usalama, wala hawayapeleki magari yao kukaguliwa mara kwa mara kama inavyopaswa. Yale yanayopelekwa kwa ukaguzi, mengi hushindwa kutekeleza kanuni zilizoweka kwa hivyo hutegemea hongo kuwa barabarani. Fauka ya hayo, madereva wa malori na matrela mara nyingi huendesha magari hayo wakiwa walevi. Dawa za kulevya kama miraa na bangi hutumiwa sana na hawa na matokeo yake huwa ajali mbaya. Hata hivyo, lawama haiwezi kuelekezewa madereva pekee. Ukiangazia barabara nchini Kenya utapata kuwa barabara haziko katika hali nzuri. Zile za lami zimekuwa na mashimo makubwa ambapo mvua ikinyesha hufanya vidimbwi mithili ya michimbo ya madini yaliyojaa maji baada ya kuachwa wazi. Na zile barabara zisizokuwa na lami zimeharibika kiasi kwamba ni vigumu kuzitofautisha na njia za ng‘ombe kwenye maeneo kame. Kinachohitajika ni kuzirudisha katika kiwango ambacho zinaweza kufaa tena. Wananchi pia inafaa waelimishwe ili wasikubali kupanda magari ambayo tayari yamejaa. Hili litawasaidia wananchi wenyewe kudumisha usalama wao barabarani. Pia inawafaa watambue ya kwamba wana jukumu la kuwaarifu walinda usalama endapo dereva anaendesha kwa kasi kuliko ile ya kilomita themanini kwa saa iliyokubaliwa. Inafahamika kuwa maafia wa usalama ndio wafisadi zaidi, hivyo basi huchangia katika kuongeza idadi ya vifo barabarani. Katika vita vya ufisadi na ajali za barabarani ni mwanachi mwenyewe ambaye atawezesha kukomesha hali hii. Kwa mfano, afisa wa usalama akipatikana akichukua hongo, yeye pamoja na yule aliyetoa hongo wakamatwe na kupelekwa kwenye vituo vya kukabiliana na ufisadi na kuchukuliwa hatua kali, matatizo haya yataisha. Lakini kabla kufikia hapo, ni muhimu kumhamasisha mwananchi kuhusu haki zake na namna ya kukabiliana na suala hili la ufisadi. Hali hii inatuonyesha kwamba mipango maalum inapaswa kufanywa na serikali ili kuwaelimisha wananchi kama hatua ya kwanza kukabiliana na ufisadi, hatimaye izilainishe sekta zote wala si ya uchukuzi na mawasiliano pekee. (a) Kwa kurejelea aya ya pili na ya tatu, eleza mambo yanayochangia ajali za barabarani. (Maneno 45-50) (b) Fupisha ujumbe wa aya ya mwisho. (maneno 50-55) (c) Mbali na ajali za barabarani, taja, tatizo lingine sugu ambalo linakumba nchi ya Kenya (d) Mwandishi anapendekeza hatua zipi zichukuliwe na serikali ili suluhisho la kudumu lipatikane? (e) Taja hatua ambazo serikali imechukua ili kuimarisha uchukuzi (f) Ni kitu gani ambacho kinaonyesha kuwa serikali imeshindwa kukabiliana na ajali barabarani? (g) Eleza maana ya maneno haya:- (i) Tatizo sugu. (ii) Vithibiti mwendo. (iii) Machimbo. (iv) Ukarabati. (v) Hongo. (vi) Kuhamasisha..

    Date posted: October 3, 2019
  • Give the differences between print and non-print media.

    Date posted: October 3, 2019
  • Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Zaraa ndio uti wa mgongo wa taifa la Kenya. Viwanda vingi nchini hutegemea kilimo kama malighafi yake na kuwalisha wafanyakazi. Licha ya umuhimu wa sekta hii, mkulima ambaye ndiye nguzo za zaraa anaendelea kukabiliwa na matatizo mbalimbali yanavokwamiza juhudi zake. Mojawapo ya matatizo yanayomkabili mkulima ni ukosefu wa ushauri wa zaraa. Wataalamu wanaotarajiwa kumshauri mkulima kuhusu njia bora za kuzalisha na kuongeza pato lake ni haba ikilinganishwa na idadi ya wakulima wanaohitaji ushauri. Wachache walioko nao wanakwamizwa na mambo tofauti. Mathalani, utawapata hawaendi nyanjani ili kukutana na wakulima kwa kuwa hawana usafiri. Iwapo usafiri upo, huenda petroli ikawa ni kizungumkuti. Halikadhalika, usisahau kuwa baadhi ya wataalamu hawa ni walazadamu au mafisadi. Kuna wale wanaofika ofisini na kushinda siku nzima wakisoma gazeti huku wakijaza miraba, wakicheza bao au karata. Kuna wale nao ambao hufika ofisini wakaangika koti au sweta kitini ili waonekane kuwa bado wapo na kisha kutokomea kwenda kushughulikia mambo yao ya kibinafsi yasiyohusu ndewe wala sikio kazi waliyoajiriwa kuifanya. Ukosefu wa sera mwafaka kuhusu ardhi nalo ni tatizo jingine linalotatiza kilimo nchini. Serikali haijaweka sera mahususi kuhusu matumizi ya ardhi. Wananchi wengi huongozwa na taratibu za utamaduni wa nasaba zao. Taratibu hizi hupendekeza ugawaji wa ardhi kwa minajili ya urithi kulingana na warithi waliopo. Si ajabu kuwa kote nchini, ardhi inayofaa kwa kilimo imekatwakatwa vipande vidogo vidogo ambavyo haviwezi kuwa na faida kwa zaraa. Kushindwa kwa mkulima kuongeza virutubishi ardhini ni changamoto nyingine inayokabili kilimo nchini. Ulimaji wa kile kipande cha ardhi mwaka nenda mwaka rudi, bila kukipa nafasi ya kukipumzisha, huufanya mchanga kupoteza virutubishi muhimu vinavyohitajiwa na mimea. Hili nalo huchangia kupunguza uzalishaji wa mazao. Ili kutatua tatizo hili, wakulima wengi hukimbilia mbolea za kisasa ambazo badala ya kumsaidia, humwongezea madhila. Mbolea hizi zinatambulikana kuchangia uchafuzi wa mchanga na ardhi. Mabadiliko ya hali ya anga nayo huongeza msururu wa madhila ya mkulima. Mabadiliko haya yamemfanya mkulima kushindwa kupanga wakati anaotakiwa kutayarisha shamba, kupanda, kupalilia, kunyunyizia dawa na kadhalika. Mvua imekuwa adimu. Badala yake panakuwa na vipindi virefu vya kiangazi ambavyo huathiri bidii za mkulima. Maji nayo yanaendelea kupungua na wakulima wengi hawawezi kukimu mahitaji ya unyunyizaji maji mashambani. (a) Andika anwani inayofaa kifungu hiki. (b) Huku ukirejelea kifungu, fafanua umuhimu wa kilimo hapa nchini. (c) Eleza changamoto tatu zinazowakabili wataalamu wa kilimo (d) Mbali na matatizo yanayowakumba wataalamu onyesha matatizo mengine matatu yanayokumba sekta ya zaraa. (alama 6) (e) Eleza maana za msamiati ufuatao kulingana na taarifa. (i) yanayokwamiza (ii) sera (iii) adimu

    Date posted: October 3, 2019
  • Vijana wana kumbwa na changamoto kadhaa katika jamii.Jadili baadhi ya changamoto hizi kwa kurejelea hadithi zozote tano kutoka diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine.

    Date posted: October 3, 2019
  • Discuss the barriers to effective classroom communication.

    Date posted: October 3, 2019
  • "Mungu akikupa kilema, hukupa na mwendowe" Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea hadithi Mzizi na Matawi.

    Date posted: October 3, 2019
  • A 4 cm straight piece of stem from a herbaceous plant was split lengthwise into two similar pieces. The pieces were placed in sugar solutions of different concentrations for 30 minutes. Their appearance after 30 minutes is as shown below. fig2131020191035.png Account for appearance of the pieces in solution A and B.

    Date posted: October 3, 2019
  • SHAIRI A Wewe, Utazame mlolongo wa Waja unaoshika njia likiwapo; Unaofuata pembe za barabara zisokuwapo, Kwenda kuisaka auni, Kuitafuta kazi inayowachenga. Itazame migongo ya wachapa kazi, Watokwao na jasho kapakapana, Wanaotafunwa uhai na jua liso huruma: Wakiinua vyuma na magunia, Wakiinua makontena, Wakichubuka mashambani, Wakiumia viwandani, Wakiteseka makazini, Halafu Uangalie ule ujira wa kijungu meko, Mshahara uso kifu haja, Nguo zisizositiri miili dhaifu, Kilio chao kisichokuwa na machozi, Na Ujiangalie Mwili wako unaomereta ujana wa ufanisi, Gari lako la kifahari lililozibwa vioo, Jumba lako la kujishasha kama uwanja mdogo, Malaki yapesa unayomiliki, Ujiitapo mwajiri kwa raha, hunusi usaha wa hali yao? SHAIRI B Dunia kitendawili, hakuna ateguaye; Dunia kama tapeli, hadaa nyingi ujuye; Dunia mwenye akili, inampiku na yeye; Dunia ina mizungu, tena yapika majungu. Dunia na yake hali, hupumbaza hatimaye; Dunia ina akili, binadamu sichezeye; Dunia uwe na mali, huiwezi dhorubaye; Dunia ina mizungu, tena yapika majungu. Dunia wenye muali, ambao waichezeye; Dunia kipigo kali, huwakumba hatimaye; Dunia wakaja kuli, ?menipata nini miye? Dunia ina mizungu, tena yapika majungu Maswali (a) Je, mashairi haya mawili ni ya aina gani? Toa sababu. (b) Taja dhamira kuu katika kila shairi. (c) Kwa kutoa hoja zozote tatu linganua mashairi haya kiumbo. (d) Taja na uelezee nafsi-pokezi katika mashairi haya mawili. (e) Kwa kutolea mfano mmoja mmoja eleza matumizi ya mbinu hizi (i) Kweli –kinzani (ii) Mishata (f) Tambua idhini ya kishairi iliyo tumika katika neno ?Waichezeye" Na uelezee dhima yake katika utoshelezi wa kian ldhi. (g) Dondoa mfano mmoja mmoja wa mbinu ya tashihisi kutoka kwenye Mashairi yote mawili. (h) Andika ubeti wa tatu katika shairi la A kwa lugha nathari. (i) Eleza maana ya msamiati huu kama ulivyotu? nika katika vifungu hivi. (i) Inampiku. (ii) Makontena.

    Date posted: October 3, 2019
  • A cell magnified 800 times using a light microscope whose eye piece was x20. What was the magnification of the objective lens?

    Date posted: October 3, 2019
  • Discuss ASSURE Model in media instruction.

    Date posted: October 3, 2019