Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Aina Za Riwaya Na Mifano Yake

10992 Views
22 Purchases

Summary

AKS 201: Introduction to the study of Literature

INAONYESHA AINA ZA RIWAYA NA MIFANO YAKE

Aina za riwaya na mifano
Riwaya ni kisa cha kubuni chenyew tukio moja kilichoandikwa ki9nadharia chenye maudhui mengi na wahusika waliosawiriwa kwa undani chenye upana na mawanda mengi.

Kuna aina sita za riwaya :
• Riwaya za kijazanda
• Riwaya za upelelezi
• Rawaya za kihalisia
• Riwaya za uhalisia wa jamii
• Riwaya za utamaushi riwaya za wasifu na tawasifu.

1. Riwaya za kijazanda.
Riwaya za kijazanda pia huitwa riwaya za kimafumbo au riwaya za kimajazi. Katita aina hzi za riwaya, mwandishi hutumia majina ya wahusika na mahali kimafumbo ili kuuficha ukweli wake au kuficha maudhui yake. Mwandishi huficha maudhui yake ili kumpa msomaji wake kazi ya kutafakari ili apate jibu kamili.
Mifano ya aina hizi ni kama vile mafuta kilichoandikwa na k. Mkangi.
..................................Continued

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Aina Za Riwaya Na Mifano Yake – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources


More Content By KENYASTUS


View all resources  

What Our Users Say