Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Karatasi-102/1 (District Joint Examination) Question Paper

Kiswahili Karatasi-102/1 (District Joint Examination) 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



KURIA EAST DISTRICT SECONDARY SCHOOL JOINT EXAMINATION

KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI 2009
MUDA:__

MAAGIZO
*Jibu maswali mawili.
*Swali la kwanza ni lazima.
*Kisha changua swali nyingine kutoka tatu zilizosalia.
*Kila insha isipungue maneno 400.
*Kila insha ina alama 20.

1. Umesoma tangazo kuhusu nafasi ya kazi ya uhariri katika kampuni iitwayo Jitegemee.Andika barua ya kuomba kazi hiyo.

2.Mkono usioweza kuukata,ubusu

3."Sayansi na ufundi zina nafasi muhimu katika kuimarisha maendeleo ya taifa."Jadili.

4.Andika insha itakayomalizia kwa maneno haya:....Siku hiyo nilirudi nyumbani nimesikitika na kujawa na majonzi tele.Nilikuwa sijawahi kuona ajali mbaya kama hiyo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers