Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kwanza District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kwanza District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2010



102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI 1
JULAI/AGOSTI-2010
SAA 1 ¾
MITIHANI YA UTATHMINI WA PAMOJA, WILAYA YA KWANZA- 2010
Hati Ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari Kenya (K.C.S.E.)
102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI 1
JULAI/AGOSTI-2010
SAA 1 ¾
1. Andika insha MBILI. Swali la kwanza ni la lazima
2. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
3. Kila insha isipungue maneno 400
4. Kila insha in alama 20
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa wanastahili kuona kuwa maswali yote yako na hakuna yaliyoachwa.
1. Kumekuwa na mashindano ya michezo ya riadha ya wanafunzi wa mabweni shuleni
mwenu. Andika ripoti itakayo tokea katika jarida la shule.
2. Jadili changamoto zinazokabili utekelezaji wa haki za watoto wa kike hapa nchini.
3. Aumwaye na nyoka akiona ung’ong’o hushtuka.
4. Andika insha inayoanza hivi:
Mkutano ulipoanza, watu wote walionyesha hofu na kuwa katika hali ya taharuki,nyuso
zilikosa tabasamu ...............................................................................
MWISHO






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers