Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Busia District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Busia District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
JULAI /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1. Insha ya lazima
Jamii ina mtazamo hasi kwa waathiriwa wa Ukimwi.
Mwandikie mhariri wa Gazeti la “ Taifa leo” barua ukitoa mapendekezo ya jinsi ya
kuwatunza waathiriwa hao au kuifanya jamii kuwa na mtazamo chanya kuwahusu.
2. Ni mikakati gani ambayo serikali ya Kenya imeweka kutimiza matakwa ya
“Ruwaza ya 2030.”
3. Chanda chema huvikwa pete
4. Andika insha inayoishia kwa maneno haya:-
…..hatungeweza kusema kuwa hakustahili hicho kichapo alichokipata.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers