Kenyatta University Bachelor Of Education (Bed) Aks 200 - Theories Of Literary Criticism.  Question Paper

Exam Name: Aks 200 - Theories Of Literary Criticism. 

Course: Bachelor Of Education (Bed)

Institution/Board: Kenyatta University

Exam Year:2005

KENYATTA UNIVERSITY

FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 200 - THEORIES OF LITERARY CRITICISM

AGIZO: Jibu maswali matatu. Swali la KWANZA ni la lazima.

1. Jadili mtagusano uliopo baina ya nadharia na uhakiki wa fasihi.

2. Fafanua jukumu la fasihi huku ukirejelea mawanda matatu ya maisha.

3. "Nadharia ya umuundo imejikita katika isimu." Toa hoja zako.

4. Huku ukirejelea Dunia mti mkavu, fafanua vipengele vitano vya nadharia ya uyakinifu wa kijamii.

5. Jadili kwa kurejelea fasihi ya Kiswahili kauli isemayo kuwa nadharia ya mtazamo-kike ni ya kisiasa.

6. Eleza na utathmini matumizi ya nadharia ya ubwege katika tamthilia ya AMEZIDI (Said Ahmed Mohamed).More Question Papers


Peng 021: Communication Skills
Cultivar Development And Release
Dhtm 020:Emerging Issues In Hospitality And Tourism
Genres Of Oral Literature
Cre Form 2
Coe 162: Introduction To Programming
Practices Of Cataloguing And Classification
Management Of Information Systems
Bmgt 211:Introduction To Risk And Insurance December 2008
Gender Population And Development
 
Return to Question Papers