Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 201: Study Of Language 1 Question Paper

Aks 201: Study Of Language 1 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



KENYATTA UNIVERSITY

FIRST SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 201: STUDY OF LANGUAGE 1

AGIZO: JIBU MASWALI MATATU, MOJA KUTOKA SEHEMU YA A NA MOJA KUTOKA SEHEMU YA B, LA TATU KUTOKA SEHEMU YOYOTE.

SEHEMU A
1. Fafanua maana ya lugha huku ukibainisha sifa zake.

2. Eleza maana ya dhana zifuatazo
i. Mtindo-pekee
ii. Umilisi lugha
iii. Lahaja
iv. Pijini na kirioli

3. Fafanua hatua ambazo lahaja hupitia ili kuwa lugha sanifu.

SEHEMU B
4. Eleza matumizi ya lugha katika jamii ya wana-ulumbi.

5. Eleza sifa bainifu za sauti zifuatazo.

i. [k]
ii. [p]
iii. [r]
iv. [i]
v. [m]
vi. [w]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers