Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 202: Language Skills In Kiswahili Question Paper

Aks 202: Language Skills In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



KENYATTA UNIVERSITY
SELF SPONSORED PROGRAMMES SECOND YEAR SECOND SESSION EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION

AKS 202: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI II

MAAGIZO
Jibu swali la kwanza ambalo ni la lazima na mengine zozote mawili.

1.
a. Eleza maana ya mahojiano na ubainishe kanuni tatu za mahojiano.

b. Taja manufaa matatu na hitilafu tatu za mahojiano.

c. Taja aina mbili za maswali ya hojaji na utunge mfano mmoja wa swali kwa kila aina [Alama 20]

2. Jadili vipengele vinne vinavyohusika katika kuendeleza na kufanikisha mawasiliano. [Alama 15]

3. Tathmini matumizi ya lugha ya maandishi na lugha ya maongezi/mazungumzo kama mtindo muhimu wa mawasiliano. [Alama 15]

4. Jadili hatua tatu muhimu zinazopaswa kuzingatiwa katika uandishi kwa jumla [Alama 15]

5. Fafanua muundo na umuhimu wa ripoti kisha uandike ripoti fupi ya taarifa juu ya mada yoyote ile. [Alama 15]

6. Andika marejeleo yafuatayo ukitumia mitindo iliyokubalika ya kuandika marejeleo.

i. Mwandishi: Peter Newmark
Jina la kitabu: Approaches to translation
Mwaka: 1988
Mchapishaji: Prentice hall
Mji: London

ii. Mwandishi: Maurice Brown
Jina la kitabu: Getting Across - a guide to good speaking and writing
Mwaka: 1978
Mchapishaji: Arnold
Mji: Melbourne

iii. Mwandishi: Gedeon
Jina la kitabu: Misingi ya lugha ya Kiswahili
Mwaka: 1984
Mchapishaji: Utamaduni Publishers
Mji: Daresalaam

Mwandishi: Munday Jeremy
Jina la kitabu: Introducing translation studies - theories and applications.

v. Wahariri: Peter Coughlin and Gerrishon K. Ikiara
Jina la Kitabu: Industrialization in Kenya - in search of a strategy
Mwaka: 1988
Mji: Nairobi. [Alama 15]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers