Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 100:
INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

==================================================================
DATE: MONDAY 14TH SEPTEMBER 2009
TIME: 11.00 A.M. ? 1.00 P.M.

MAAGIZO
Jibu maswali MATATU

1.
Lugha in sifa ya binadamu pekee?. Jadili.
2.
Dhihirisha tofauti iliyopo kati ya dhana zifuatazo:
a)
umilishi na utendaji
b)
isimu elezi na isimu elekezi
c)
unasibu na uonomatopea
3.
Eleza kikamilifu, kwa mtazamo wa kiisimu, mambo anayofahamu mtu anayeijua lugha fulani.
4.
Eleza na utathmini nadharia ya kimazingira ya asili ya lugha.
5.
Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa zo zote tano za lugha.
6.
a)
Kwa kurejelea wataalamu watatu, eleza maana ya lahaja.
b)
Eleza jinsi lahaja inavyozuka
c)
Onyesha unvyoweza kupambanua lugha na lahaja






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers