Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Theories Of Literary Criticism Question Paper

Theories Of Literary Criticism 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 302: THEORIES OF LITERARY CRITICISM
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
DATE: FRIDAY 11th JANUARY 2008 TIME: 1.00PM ? 3.00PM
===============================================================

MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.

1. Nadharia za uhakiki wa fasihi ni muhimu katika uelewa wa fasihi kwa ujumla?
Fafanua.

2. Kwa kurejelea riwaya ya Rosa Mistika au kazi yoyote ya Kezilahabi, fafanua jinsi nadharia ya Udhanaishi inavyoweza kutumiwa kuhakiki kazi ya fasihi.

3. Nadharia ya uhalisia wa kijamaa imeathiri waandishi wa fasihi ya Kiswahili.? Fafanua.

4. Tumia kazi yoyote ya fasihi ya Kiswahili kudhihirisha jinsi ubwege unavyoweza kutumiwa katika kuhakiki kazi ya fasihi.

5. Onyesha jinsi ambavyo nadharia ya mtazamo kike imetumika katika fasihi ya Kiswahili.

6. Taja hali za kijamii zilizozaa urasimi mpya na ulimbwende wa kimagharibi na ueleze jinsi nadharia hizi zilidhihirika katika fasihi ya Kiswahili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers