Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

(a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo za isimu jamii. i) Lafudhi ii) Lahaja iii) Rejesta Taja sifa nne za sajili ya wanasiasa (alama 4)

(a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo za isimu jamii.
i) Lafudhi

ii) Lahaja

iii) Rejesta
Taja sifa nne za sajili ya wanasiasa (alama 4)

Answers


ESTHER
1. (a) (i) Lafudhi ni upekee wa mtu kuzugumza lugha. Alama 2
(ii) Lahaja ni matumizi ya lugha kimaeneo Alama 2
(iii) Rejesta ni dhana ibainishayo matumizi ya lugha kulingana na makundi na mahali. Alama 2
(b) Lugha inayotumiwa si sanifu
Lugha aghalabu huwa na matuzi kwa wapinzani.
Lugha imejaa ahadi nyingi
Lugha huwa imetiwa chumvi
Sentensi fupi hutumiwa
Lugha hutumia mafumbo
Kuna kuchanganya ndimi
Lugha ya kujisifu hutumiwa
Lugha ya kujibizana hutumiwa
Msamiati teule wakati mwingine hutumiwa
Huwa kuna matumizi ya nyimbo
Hoja zozote (4)

ESTHER STEVE answered the question on April 30, 2018 at 19:51

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions