Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ni mikakati gani inayotumiwa na wananchi was sagamoyo ili kuhakikisha kwamba wamepata ukombozi kutoka mikononi MWA viongozi dhalimu

Ni mikakati gani inayotumiwa na wananchi was sagamoyo ili kuhakikisha kwamba wamepata ukombozi kutoka mikononi MWA viongozi dhalimu

Answers

nyamwaya
wanatumia migomo
wanawachagua viongozi wengine
wanakataa kujihusisha na ufisadi
viongozi dhalimu wanamulikwa
apollos answered the question on January 7, 2019 at 19:34

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions