Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

"Shughuli yetu itakamilika kesho", mama alimwambia mwanaye Juma. (Andika katika usemi wa taarifa).

"Shughuli yetu itakamilika kesho", mama alimwambia mwanaye Juma.
(Andika katika usemi wa taarifa).

Answers


Kavungya
Mama alimwambia mwanawe/mwanaye Juma kuwa shughuli yao ingekamilika siku ambayo ingefuata.
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:40

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions