Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana ya upangaji lugha na ufafanue sababu ya shughuli hiyo

Eleza maana ya upangaji lugha na ufafanue sababu ya shughuli hiyo

Answers


Ochieng
Upangaji lugha ni mikakati ya kuiratibu lugha ili kuleta uwiano na maelewana katika kiwango cha kitaifa.

Sababu za kupanga lugha
1.kuidhinisha lahaja mojawapo ya lugha kama lugha kuu
2.kueleza matumizi sahihi za lugha
3.kurahihisha istilahi za lugha
4.kubuni istilahi mpya za lugha .ilikukidhi mahitaji take ya mawasiliano.
5.kufufua lugha za kale na ambazo zinafifia.
SAW answered the question on May 14, 2019 at 12:55

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions