Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Sahihisha sentensi zifuatazo bila kugeuza maana i) Kikombe chenye kimevunjika ni kipya ii) Nimepeana kitabu kwa mwalimu mkuu

Sahihisha sentensi zifuatazo bila kugeuza maana
i) Kikombe chenye kimevunjika ni kipya
ii) Nimepeana kitabu kwa mwalimu mkuu

Answers


Kavungya
(i) Kikombe chenyewe kimevunjika ni kipya
(a) Kikombe kilochovunjika ni kipya/ kikombe chenye kuvunjika ni kipya/
kikombe
Kipya kemevunjika / kikombe kipya ndicho kilichovunjika
(ii) Nimepeana kitabu kwa mwalimu mkuu
(a) Nimempa mwalimu mkuu kitabu/ Nimempatia kitabu mwalimu mkuu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:44

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions