Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tunga sentensi moja moja ukitumia alama zifuatazo za uakifishaji (i) Ritifaa (ii) Parandesi (iii) Dukuduku (iv) Mshangao.

Tunga sentensi moja moja ukitumia alama zifuatazo za uakifishaji
(i) Ritifaa
(ii) Parandesi
(iii) Dukuduku
(iv) Mshangao.

Answers


Kavungya
(i) Ritifaa- kuonyesha maneno/ majina ya ving’ong’o mf Ng’ombe
Kufupisha maneno mf. Takwenda – (tutakwenda)
(ii) Parandesi
Kutoa maelezo zaidi/ kufafanua
Kuonyesha maneno yaliyo ya lazima
Kuonyesha maneno yaliyo na maneno sawa
Katika tamthilia kutoa maneno ya waigizaji
Kufungulia nambari za kourodhesha
(iii)
Kukatiza usemi- kutomaliza- kigugumizi
Unukuzi wa usemi wa mtu mwingine
(iv)
Kuonyesha hisis ya moyoni/ furaha, huzuni, hasira
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:08

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions