Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika sentensi zifuatazo katika hali ya kutendewa i) Yule Ngo’mbe alizaa ndama mkubwa jana ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa mda mrefu.

Andika sentensi zifuatazo katika hali ya kutendewa
i) Yule Ngo’mbe alizaa ndama mkubwa jana
ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa mda mrefu.

Answers


Kavungya
(i) Yule Ng’ombe alizaa ndama mkybwa jana
(a) Ndama mkubwa alizaliwa/ alizaliwa na ng’ombe yule jana
(ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa muda mrefu
(b) Nyatogo amesumbuliwa na mavu hawa kwa muda mrefu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:47

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions