Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja na ubainishe aina za viwakilishi katika sentensi zifuatazo (i) Ile minazi yangu niliyopalilia inakua vizuri (ii) Mimi ninataka kumwona mwanariadha aliyepata nishani ya dhahabu

Taja na ubainishe aina za viwakilishi katika sentensi zifuatazo
(i) Ile minazi yangu niliyopalilia inakua vizuri
(ii) Mimi ninataka kumwona mwanariadha aliyepata nishani ya
dhahabu

Answers


Kavungya
ile- ngeli/ jina/ kionyeshi/ Kiwakilishi/ kiashiria
Yangu – kiwakilishi
Niliyo – kiwakilishi/ wakati / nafasi/ ‘O’ rejeshi
Ina- ngeli/ wakati/ jina / kiwakilishi
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:13

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions