Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza juhudi tano zinazotumika kukiendeleza Kiswahili

Eleza juhudi tano zinazotumika kukiendeleza Kiswahili

Answers


Maurice
(i) Kuwepo kwa vipindi vya redio na runinga ambavyo huhimiza matumizi ya lugha sanifu

(ii) Uchapishaji wa vitabu vya kisarufi

(iii) Ufundishaji wa Kiswahili kuwa somo la lazima shuleni

(iv) Kiswahili kinaendelezwa kitaaluma katika vyuo vikuu

(v) Mashirika mbalimbali yanayoshughulikia uimarishaji wa lugha ya Kiswahili
kwa mfano Chakita, Chakike

(vi) Mashindano ya uandishi

(vii) Kukariri mashairi katika tamasha mbalimbali

(viii) Kuandaliwa kwa semina na warsha mbalimbali zinazoshughulikia lugha ya Kiswahili

(ix) Kilitangazwa kuwa mojawapo ya lugha za bunge
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 11:00

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions