Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

“Lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza.” Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii katika Hadithi za Tumbo Lisiloshiba.

      

“Lakini nakwambia tena, kula kunatumaliza.” Kwa kudokeza hoja kumi, jadili ukweli wa kauli hii katika Hadithi za Tumbo Lisiloshiba.

  

Answers


Francis
? Viongozi wa mataifa yanayoendelea kutowajibikia kazi zao. Wanakubali bidhaa duni kurundikwa katika mataifa yao - mchele wa basmati.
? Mali ya umma kunyakuliwa - DJ anafungua duka la dawa zilizotolewa katika bohari ya serikali huku wanyonge wakiteseka.
? Serikali kuwalipa watu ambao hawafanyi kazi mishahara mikubwa hivyo kudhoofisha uchumi wa nchi - Mzee Mambo.
? Kituo cha televisheni ya taifa kutumika kupeperusha matangazo ya sherehe ambazo hazina umuhimu wowote katika ujenzi wa taifa.
? Wananchi wengine badala ya kuchukua hatua mwafaka dhidi ya wanyakuzi, hungojea wakati wao ili nao wanyakue - Sasa na Mbura...nasi si tuende -tusogee.
? Viongozi wananyakua mali ya mabilioni kwa hila na hawajali
– Mzee Mambo anaandaa sherehe kubwa kwa sababu mtoto wake wa kwanza ameingia shule ya chekechea na yule wa mwisho ameota vijino viwili.
? Watu walio karibu na viongozi kupewa vyeo ilhali wanyonge hawana kazi –Mzee Mambo ana vyeo viwili.
? Viongozi kutowajibika katika kuchunguza utendakazi wa wafanyakazi wao kwani hushinikiza wafanyakazi kwenda kazini na sio kufanya kazi. Jambo linalohujumu uchumi wa taifa.
? Wananchi kuchangia kuzorotesha uchumi wa nchi zao kwa kufumbia macho unyakuzi unapoendelezwa na viongozi - Sasa na Mbura.
? Viongozi kutochunguza ubora wa vyakula vinavyoletwa shereheni. Vyakula vyenyewe vinaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu.
? Magari ya serikali kutumika katika sherehe za kibinafsi badala ya kuwahudumia wananchi. Magari haya yanabeba mapambo; kupeleka watoto kuogeshwa katika sherehe ya Mzee Mambo.
? Watu kunyongana na kuuana ili wapate shibe hasa katika mataifa yanayoendelea.
? Wenye hadhi ya chini kuruhusiwa kuvitwaa vyao baada ya mabwanyenye kujinyakulia vyao - wafanyavyo Sasa na Mbura.
francis1897 answered the question on February 6, 2023 at 11:33


Next: Kwa kurejelea hadithi za Mapenzi ya Kifaurongo na Shogake Dada ana Ndevu fafanua changamoto zinazowakumba vijana. (a) Mapenzi ya Kifaurongo (b) Shogake Dada ana Ndevu
Previous: Nini umuhimu wa ushairi katika jamii?

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions