-
Eleza maana ya kumbukumbu katika fasihi simulizi.
Date posted:
October 20, 2017
-
Taja umuhimu wa soga katika jamii.
Date posted:
October 20, 2017
-
Taja sifa zozote tano za soga
Date posted:
October 20, 2017
-
Eleza maana ya vigano
Date posted:
October 20, 2017
-
Eleza sifa mbalimbali za sauti /ch/
Date posted:
October 12, 2017
-
Taja tofauti kati ya konsonanti na irabu.
Date posted:
October 12, 2017
-
Kamilisha kwa vielezi viigizi vifuatavyo:
i) Funga mlango
ii) Yule mtu ananuka
Date posted:
October 12, 2017
-
Weka nomino zifuatazo katika ngeli zake.
i) Kipepeo
ii) Maziwa
Date posted:
October 12, 2017
-
Tunga sentensi katika kauli ya kutendewa ukitumia vitenzi vifuatavyo
i) Wa
ii) Chwa
Date posted:
October 12, 2017
-
Andika sentensi ifuatayo katika umoja;
Hao wenyewe hawakuzingatia mafunzo ya lishe bora.
Date posted:
October 12, 2017
-
Tumia kirejeshi - O – tamati katika sentensi ifuatayo:
Kijana ambaye anapendeza ni yule ambaye hutia bidii.
Date posted:
October 12, 2017
-
Tumia neno “kimya” katika sentensi kama:
(i) Kielezi
(ii) Kihisishi
Date posted:
October 12, 2017
-
Akifisha sentensi hii kwa njia tatu tofauti ili kuleta dhana tatu tofauti.
Babu alimchapa nyanya
Date posted:
October 12, 2017
-
Tunga sentensi moja kudhihirisha maana tofauti ya maneno yafuatayo:
Date posted:
October 12, 2017
-
Onyesha shadda katika neno lifuatalo: mlima
Date posted:
October 12, 2017
-
Tunga sentensi ukitumia kielezi cha;
Wakati
Date posted:
October 12, 2017
-
Tunga sentensi ukitumia kielezi cha;
i) Mahali
Date posted:
October 12, 2017
-
Andika sauti mwambatano inayotamkiwa kwenye ufizi.
Date posted:
October 12, 2017
-
Huku ukitoa mfano mmoja mmoja taja makundi mawili ya sauti.
Date posted:
October 12, 2017
-
Nomino zifuatazo ziko katika ngeli gani?
(i)Makamasi
(ii)Boga
Date posted:
October 12, 2017
-
Eleza matumizi mawili ya parandesi kama alama za uakifishaji.
Date posted:
October 11, 2017
-
Eleza matumizi matatu ya kikomo huku ukitolea mifano mwafaka.
Date posted:
October 11, 2017
-
Ni nini umuhimu wa kusanifisha lugha ya Kiswahili?
Date posted:
October 10, 2017
-
Usanifishaji wa lugha ni nini?
Date posted:
October 10, 2017
-
Ala tuli ni nini?
Date posted:
October 10, 2017
-
Bainisha matumizi ya ‘ni’ katika sentensi ifuatayo:
Twendeni tuone mhubiri ni nani?
Date posted:
October 10, 2017
-
Tunga sentensi ukitumia neno ‘kinanda’ kisha ubainishe ngeli yake.
Date posted:
October 10, 2017
-
Taja king’ong’o cha kaakaa gumu.
Date posted:
October 10, 2017
-
Eleza maana ya mofimu
Date posted:
October 10, 2017
-
Mtu aliyefiwa akiambiwa 'makiwa'anapaswa kujibu vipi iwapo mazishi ya marehemu yamekamilika
Date posted:
October 10, 2017