Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Maswali Mbalimbali Kwa Kila Sura Ya Chozi La Heri

31215 Views
121 Purchases

Summary

Maswahi mbali mbali ambazo hujitokeza katika sura mbali mbali za Chozi La Heri. Maswali haya husaidia wanafunzi kujua maudhui, wahusika, mbinu na sifa za wahusika zinazojitokeza katika sura mbali za Chozi La Heri.

MASWALI YA CHOZI LA HERI
MARUDIO CHAPUCHAPU:Maswali ya dondoo yamefinyangwa pamoja na ya insha ili kudurusia Riwaya ya Chozi la Heri kwa lengo la kuirahisisha kwa wanafunzi na hata kwa walimu.
Tanbihi: Mapendekezo Kwa Mwalimu jinsi ya kutumia Makala haya: hakikisha wanafunzi wamesoma bararabara riwaya nzima ya Chozi la Heri huku ukitambua mbinu za kimtindo humo humo kisha wanafunzi wenyewe wazipigie vistari kwa kalamu ya makaa; ukisoma nao itakuwa vyema zaidi. Watangazie siku ya mujaribu na uwajuze kila mmoja atafanya swali lake, sasa fanya marudio pamoja nao maswali yote baada ya usahihishaji, bila shaka kutakuwa na matunda! Kila la heri mwalimu mwezangu. Inshallah!
........

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Maswali Mbalimbali Kwa Kila Sura Ya Chozi La Heri – Kenyaplex
  • Page 2 – Maswali Mbalimbali Kwa Kila Sura Ya Chozi La Heri – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources


More Content By 35824167


View all resources  

What Our Users Say