Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Maswali ya insha na dondoo kidato cha tatu hadi cha nne

1660 Views
0 Purchases

Summary

Maswali haya ni za tamthilia ya kigogo ambayo huguza kila onyesho katika tamthilia ya kigogo.
Msomaji awe makini maanake maswali haya ni kioo katika mtihani wa KCSE .

MASWALI YA INSHA
1)Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia ya kigogo (al 20)
2):’’Mwandishi wa tamthilia ya kigogo anadhamiria kujenga jamii mpya ‘’
Dhibitisha ukweli wa kauli hii(al 20)
3)’’Maandamano na migomo ni tatizo sugu katika mataifa yanayoendeleaa.’’Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo,eleza chanzo na athari za maandamano na migomo .(al 20)
4)Jadili ufaafu wa anwani ‘’kigogo’’katika tamthilia ya kigogo.(al 20)

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Maswali ya insha na dondoo kidato cha tatu hadi cha nne – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources


More Content By 32931888


View all resources  

What Our Users Say