Trusted by millions of Kenyans
Chat on WhatsApp

Mbinu za uandishi na ukurasa katika kigogo

1521 Views
1 Purchases

Summary

Maandishi haya ni ya kigogo.Mbinu na ukurasa zipatakanavyo vile vile vinavyoeleweka kwa wanafunzi haraka kwa kuwa Vimefupishwa.

a. KINAYA
1. Habari zinazotolewa na mjumbe katika rununu ni za kinaya ,kuwa wanaSagamoyo wasirundishe maendeleo nyuma bali wafurahie ufanisi ambao umepatikana katika kipindi cha miaka tisini baada ya uhuru .Ujumbe huu ni kinaya kwa vile Sagamoyo hakuna maendeleo wala ufanisi .Watu wana njaa na wanakosa mambo ya kimsingi kama vile ,maji ,elimu na matakwa mengine mengi.
2. Boza anadai kuwa kulipa kodi ni kujenga nchi na kujitegemea .Kauli hii ni kinaya kwa vile kodi wanayolipa Wanasagamoyo haitumiki kujenga nchi kwa vyovyote vile .

Below is the document preview. Purchase to access the complete document.

  • Page 1 – Mbinu za uandishi na ukurasa katika kigogo – Kenyaplex
........

This is the end of this document preview. Buy to download the complete document.

Recommended Resources

More Resources


More Content By 32931888


View all resources  

What Our Users Say