Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Literature Question Paper

Introduction To The Study Of Literature 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
INSTITUTIONAL BASED PROGRAMME (IBP)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS

AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATURE

DATE:
Thursday 29th April 2010 TIME: 11.00 a.m. ? 1.00 p.m.
________________________________________________________________________
MAAGIZO
Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.

1.
a)
Bainisha kwamba fasihi ni sanaa.

b)
Dhihirisha uhusiano uliopo baina ya fasihi simulizi na fasihi andishi

2.
?Utanzu wa riwaya una misingi katika masimulizi ya jadi? Toa maoni yako.

3.
Kwa kurejelea kazi zozote za fasihi ya Kiswahili, fafanua dhana sifuatazo za
fasihi.
a)
Dhamira
b)
Maudhui
c)
Mandhari

d)
Mbinu za uandishi

4.
Linganisha na kulinganua riwaya na hadithi fupi.

5.
?Utanzu wa tamthilia si mgeni katika historia ya fasihi za Kiafrika? Jadili

6.
Kupitia mifano bainish vipengele muhimu katika uhakiki wa ushairi.
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers