Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

DATE: Tuesday 8th July, 2008 TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.
________________________________________________________________________
MAAGIZO
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.

1.
?Lugha ni mifumo unaoweza kutathminiwa vyema kwa kuzingatia viwango
mbalimbal vya isimu. ?Fafanua madai haya kutoa mifano inayofaa.

2.
Lugha nini? Fafanua sifa kuu zinazotambulisha lugha ya binadamu..

3.
Fafanua nadharia tatu muhimu zinazohusishwa na asili ya lugha kasha ueleze kwa
kifupi umuhimu na upungufu wa kila nadharia.

4.
Eleza uwiano na tofauti kati ya lugha ya mwanadamu na mawasiliano ya
wanyama.

5.
Huku ukitoa mifano inayfaa, eleza mambo ya muhimu yanayoweza kuchangia
katika ukuzaji wa umilisi wa lugha katika kiwango cha mutu binafsi.

6.
Fafanua umuhimu wa lugha ya Kiswahili nchini Kenya kwa wakati huu.
????..






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers