Kenyatta University Bachelor of Arts (Kiswahili) Communication Skills In Kiswahili  Question Paper

Exam Name: Communication Skills In Kiswahili 

Course: Bachelor of Arts (Kiswahili)

Institution/Board: Kenyatta University

Exam Year:2009

KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION

AKS 202: COMMUNICATION SKILLS IN KISWAHILI


DATE:
FRIDAY 28TH AUGUST, 2009 TIME: 2.00P.M- 4.00P.M

MAAGIZO
JIBU MASWALI MATATU.
1.
? Dhima ya Kiswahili ni zaidi ya matumizi yake katika mawasiliano? Fafanua
na utoe mifano faafu.
2.
Imesemekana kuwa matumizi ya ?sms? katika simu tamba na uandishi wa
barua pepe yameathiri mbinu bora za uandishi wa insha. Tathmini dai hili.
3.
Jadili kwa tafsili nadharia mbili za chimbuko la lugha ya binadamu.
4.
Fafanua dhima ya tahariri na tahakiki na jinsi zinavyotekelezwa.
5.
Eleza na utoe ithibati jinsi utandawazi unavyokuza Kiswahili kama lugha ya
mawasiliano.
6.
Jadili jinsi tafsiri inavyodhihirika kama chombo cha mawasiliano.


Page 1 of 1More Question Papers


Community Health
Organizational Behaviour
Computer Applications
Bureti District Mock-History Paper 2
Marketing Strategies And Planning
Crop 343: Industrial And Perennial Crops
Consumer And Producer Theory
Kakamega District Mock-History Paper 2
Foundation Physics For It
Bondo District Mock Examination Paper 102/1
 
Return to Question Papers