Kenyatta University Bachelor Of Arts (Kiswahili) Historical Development Of Kisw Ahili  Question Paper

Exam Name: Historical Development Of Kisw Ahili 

Course: Bachelor Of Arts (Kiswahili)

Institution/Board: Kenyatta University

Exam Year:2007

KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINA.TIONS 2006/~OQ7
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS
AKS 102: HISTORICAL DEVELOPMENT OF KISW AHILI
DATE: Wednesday 21st February, 2007
TIME: 8.00 a.m. -10.00 a.m.
MAAGIZO: Jibu maswali matatu yoyote.
1.
Huku ukitoa mifano, jadili mchango wa ushahidi wa kiisimu katika kufafanua
asili ya lugha ya Kiswahili.
2.
"Waarabu walichangia kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili katika Afrika
Mashariki kwa njia mbalimbali" Fafanua kauli hii.
3.
Kwa kutoa mifano, bainisha tofauti za kifonolojia kati ya lahaja ya Kiamu na
Kiswahili sanifu.
4.
Fafanua mafanikio ya Kamati ya Kiswahili ya Afrika Mashariki katika
kusanifisha Kiswahili.
5.
"Kiswahili kinahitaji kusanifishwa upya". Fafanua kauli hii.
6.
Eleza namna ambavyo Wajerumani walichangia maendeleo ya Kiswahili
nchini Tanganyika kabla ya uhuru.More Question Papers


Heh 200: Introduction To Epidemiology
Planning For Ecotourism
Bibl 110:Old Testament Survey December 2010
Exceptional Learners (Educ 413)
Computer Networks
Chtu 221: Introduction To Medical Sociology
Sbc 103: Basic Metabolism Ii
Phys 120: Basic Electronics 2009
Statistics, Tests And Measurement
System Analysis &Amp; Design
 
Return to Question Papers