Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Contemporary Kiswahili Novel And Play  Question Paper

Contemporary Kiswahili Novel And Play  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 303: CONTEMPORARY
KISW AHILI NOVEL AND PLAY
DATE: Thursday 18th January, 2007
TIME: 9.00 a.m. - 11.00 p.rn.
----------------------------------
---------------------
MAAGIZO
Jibu swali moja kutoka kila sehemu.
SEHEMUYAA:
(NADHARIA)
1.
Huku ukirejelea riwaya moja na tamthilia moja, jadili kwa tafsili dhima ya fasihi kwajamii ya kisasa. [alama 26]
2.
Kwa kurejelea riwaya moja na tamthilia moja, bainishajinsi fasihi inavyoathiriwa na historia ya j amii. [alama 26]

SEHEMUYAB:
(RIWAYA)
3.
Huku ukiwazingatia wahusika watatu wa kike katika riwaya ya Mwisho wa Kosa (Burhani), fafanuajinsi usawiri wao ulivyotumika kuendeleza maudhui ya ukengeushi. [alama 22]
4.
"Kufa Kuzikana (Walibora) ni fumbo kuhusu uhalisi katikajamii za kisasa". Tathmini kauli hii kwa kutoa mifano ifaayo. [alama 22]

SEHEMUYAC:
(TAMTIDLIA)
5.
Jadili jinsi jazanda ya "pango" katika tamthilia ya Pango (Wamitila) inavyofaa katika ujenzi wa maudhui. [alama 22]
6.
Bainisha kwa kurejelea wahusika wanne, mchango wa vijana katika kuleta mapinduzi katikajamii katika tamthilia ya Kifo Kisimani. [alama 22]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers