Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kcse Model Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kcse Model Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2012



102/1

KISWAHILI INSHA

1. Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Tujulisheni ukilalamikia dhuluma wanazofanyiwa wanawake.
2. Ufisadi ni janga ambalo limekita mizizi katika jamii. Fafanua.
3. Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
4. Andika mahojiano kati ya afisa wa mazingira na mwanakijiji kuhusu uchafuzi wa mazingira kijijini mwako.
5. Andika insha itakayokamilika kwa maneno “…………………………..kweli nilisadiki aliyosema afisa kuwa mazingira ni muhimu na yafaa kutunzwa”.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers