KCSE Kiswahili Kiswahili Paper 1 (Insha)  Question Paper

Exam Name: Kiswahili Paper 1 (Insha) 

Course: Kiswahili

Institution/Board: KCSE

Exam Year:2006

INSHA
Saa 1 3/4
Andika insha mbili.Swali la kwanza ni la lazima.
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
Kila insha isipungue maneno 400.
Kila insha ina alama 20.
1. Umeteuliwa kuwa katibu wa kamati inayotoa mapendekezo ya jinsi ya kupambana na tatizo sugu la dawa za kulevya.Andika ripoti yako.
2. Ukubwa ni jaa.
3. Malizia kwa..Wekundu wa uchwejua ulienea kila mahali;anga nzima ilijaa wekundu kama kwamba mazingira yalipatana na hali iliyokuwako.Kwa mbali niliisikia sauti iliyonikumbusha maneno niliyoambiwa zamani.Laiti ningeyasikiliza maneno hayo.
4."Utandawazi una athari mbaya katika maisha yetu."Jadili.More Question Papers


Simulation And Modelling
Financial Reporting
Principles Of Marketing
Bomet District English Paper 1
Biology Paper 231 / 1 K.C.S.E 2001 Questions
Ccm102: Business Communication &Amp; Office Management
Ed:504 Ethical Issues In Education
Computer Literacy And Skills
Biology Paper 1 Model Paper
Research Methods In Recreation And Movement
 
Return to Question Papers