Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Kidato Cha Pili Question Paper

Kiswahili Kidato Cha Pili 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2010



Maagizo:Jibu maswali yote. 1.Andika majibu mengine ya konsonanti zifuatazo:a)Nusu irabu.(alama 2) b)Nazali(alama 2) 2.Taja ala saba za kutamkia sauti.(alama 7) 3.Taja viungo viwili vikuu vya kutamkia irabu.(alama 4) 4.Zitaje konsonanti mbili mbili zinazo tamkiwa kwenye ala zifuatazo.(alama 6) a)Midomo b)Meno na mdomo c)Za ulimi. 5.Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo.(alama 12) a)Mama amekwenda sokoni. b)Shule hii huwasaidia watoto mia moja. c)Wazee wanashauriana uwanjani ule. 6.Taja aina zote za nomino huku ukitoa mfano wa kila mojawapo.(alama 6) 7.Taja istilahi tano za mashairi.(alama 5) 8.Onyesha uhuru (idhini) tano za mshairi za kutunga mashairi.(alama 5) 9.Taja sababu mbili ambazo zafanya mshairi atumie uhuru wa mashairi.(alama 2)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers