Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2012



101/1
KISWAHILI
INSHA
MECHI /APRILI 2012
MUDA:SAA 1 3/4


SHULE YA UPILI YA COVENANT.
Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondary (K.C.S.E)

Kiswahili
Insha

MAAGIZO :
•Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
•Chagua moja nyingine kati ya yaliyo baki tatu.
•Kila insha isipungue maneno 400.
•Kila insha ni alama 20.

1.wewe ni katibu wa chama cha waandishi habari chipukizi shuleni kwako.Andika kumbukumbu za mkutano za uliofanyika mnamo Oktoba 27,2010.
2.Fahali wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi.
3."Sayansi na ufundi zina nafasi muhimu katika kuafikia ruwaza ya mwaka 2030 ya maendeleo ya taifa. "Jadili.
4.Andika insha itakayomalizika kwa :...........nilishangaa kugundua kuwa nilikuwa nimeokotwa msituni siku kumi baada ya mkasa huo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers