Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Structure  Question Paper

Kiswahili Structure  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AND BACHELOR OF EDUCATION(ARTS)
AKS 301:
KISW AHILI STRUCTURE
DATE: Thursday, 8th February, 2007
TIME: 4.30 p.m. - 6.30 p.m.
MAAGIZO
Jibu maswali MATATU.
1.
a)
Bainisha vigezo muhimu vinavyotumika kuainisha konsonanti.
b)
Ukitumia vigezo viwili kati ya vile ulivyotaja katika l(a), ainisha konsonanti za Kiswahili.
2.
a)
Taja mifanyiko ya kifonolojia inayodhihirika katika lugha.
b)
Ukitumia mifano kutoka lugha ya Kiswahili, eleza mifanyiko MITA'l 'U ya kifonolojia.
3.
a)
Taja aina za maneno katika lugha ya Kiswahili.
b)
Fafanua MUUNDO NA UTVMIKlZI wa aina TATV za maneno katika sentensi za Kiswahili.
4.
Ukilenga jinsi ya kutendeka, kutendesha na kutendewa, tambua alomofu mbalimbali zinazojitokeza katika unyambuaji wa vitenzi.
5.
Bainisha mikabala MITA TV mikuu inayotumiwa kuainisha ngeli za nomino za Kiswahili na ueleze UMUHIMU wa kila mojawapo.
6.
a)
Ukitumia mifano, eleza vipashio vikuu vya sentensi ya Kiswahili.
b)
Onyesha utumikizi wa vipashio ulivyobainisha katika 6(a) katika uainishaji wa sentensi za Kiswahili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers