Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ili kuweza kufanikisha uwasilishaji wa utanzu wa nyimbo kwa hadhira eleza mambo anayohitaji mwimbaji.

Ili kuweza kufanikisha uwasilishaji wa utanzu wa nyimbo kwa hadhira eleza mambo anayohitaji mwimbaji.

Answers


gregory
? Kuwa na sauti ya kurutia
? Kuihusisha hadhira
? Kuieiewa hadhira
? Kuelewa utamaduni wa hadhira
? Kutumia viziada lugha
? Kuwa mkakamavu
? Aelewe lugha ya hadhira
? Awe mbunifu
? Ahusishe masuala ibuka yanayoathiri jamii ili kupitisha maadili yafaayo.
? Awe na kumbukumbu nzuri.
? Avae maleba
? Abadilishetoni kulingana na ujumbe
? Kutumia ala kwa njia mwafaka ili kukuza mvuto wa utungo wake.
gregorymasila answered the question on February 6, 2018 at 07:14

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions