Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana ya semi

Eleza maana ya semi

Answers


Mitch
Semi ni utanzu ya fasihi simulizi ambao hujumuisha tungo fupi za kimafumbo zinazonuiwa kutoa mafunzo maalumu kuhusu mwelekeo wa fulani wa maisha.Mifano ni Kama vile methali, vitendawili, nahau, misimu na lakabu.

AMA

Semi ni kauli fupi za kisanaa zenye maana na mafunzo yaliyofichika. Semi hutoa mafunzo kwa njia ya kufumba, mafunzo katika semi hutokana na imani ya jamii ambayo imezibuni mifano ya semi ni methali, vitendawili, misemo, nahau, misimu, lakabu, mafumbo, chemshabongo na vitanza ndimi. Semi pia huitwa tungo fupi au tungo bainifu.
Mitch_254 answered the question on April 12, 2018 at 07:31

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions