Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Ushairi simulizi hufungamana na shughuli au muktadha maalumu mathalani nyimbo hufungamana na shughuli tofauti tofauti.Taja mifano minne

Ushairi simulizi hufungamana na shughuli au muktadha maalumu mathalani nyimbo hufungamana na shughuli tofauti tofauti.Taja mifano minne

Answers

kelvin
i) Hodiya-nyimbo za kazi.
ii) Kimai-nyimbo za uvuvi na shuguli za majini.
iii) Mbolezi-nyimbo za kuomboleza/matanga.
iv) Wawe-nyimbo za kilimo.

kevowmuchiri answered the question on July 24, 2018 at 12:13

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions