Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza sifa tano za hotuba

Eleza sifa tano za hotuba

Answers


KELVIN
1. Kwa kawaida, hotuba hutolewa na watu maalumu au walioteuliwa kuzungumza k.v viongozi au wawakilishi wao na watu wengine wenye hadhi katika jamii. Hata hivyo, baadhi ya hotuba hutolewa katika miktadha isiyo rasmi, katika makazi ya watu hotuba za mawaidha (waadhi) nasaha huweza kutolewa wakati wa chajio au baada ya chajio
2. Watu wanaoteuliwa kutoa hotuba aghalabu huwa na umilisi mkubwa wa lugha, walumbi ni watoaji hotuba na wana stadi za kutoa hotuba zao hadharani.
3. Hotuba hutolewa kwa nafsi ya kwanza.
4. Mtoaji hotuba anaweza kutumia viziada-lugha kama vile ishara za uso na mikono ama miondoko ili kufanya hotuba ivutie hadhira, maswali ya balagha pia hutumika
5. Hotuba huteuliwa mada mahususi wala haizungumzii jambo lolote

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:34

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions