Trusted by millions of Kenyans
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Taja sifa nne za ulumbi

Taja sifa nne za ulumbi.

Answers


KELVIN
1. Mlumbi hutumia lugha kwa njia ya kuvutia na kushawishi hadhira yake
2. Ulumbi hubainika katika miktadha ya kutoa hotuba au katika hali ambapo mtu anahitajika kutetea msimamo wake katika vikao au hata katika mijadala rasmi
3. Hukuza ukakamavu wa kuzungumza hadharani, mlumbi hupenda kuzungumza na hupenda kujisikia akizungumza mbele ya watu.
4. Hutumia vipengele anuwai vya lugha k.v sitiari, maswali ya balagha, methali, nahau, taswira na pia viziada lugha kama vile toni ili kuishawishi hadhira au kutilia mkazo wazo fulani na kutetea misimamo yao, hutumia lugha kutegemea muktadha na hadhira yake.
5. Katika baadhi ya jamii, walumbi walitumika kuzungumza kwa niaba ya viongozi kama maehifu, wanaoomba posa au kwa niaba ya ukoo
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 11:29

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions